1232 22nd St. NW Washington D.C 20037
ubalozi@tanzaniaembassy-us.org
202-939-6125 202-884-1080 202-884-1083 (Visa)
Embassy of Tanzania, DC

Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu atembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu atembelea Ubalozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Washington D.C., Marekani – Tarehe 05 Novemba, 2019 akiwa katika ziara ya kikazi nchini humo.

Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu pamoja na Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa na Ujumbe aliofuatana nao.
Mhe. Mizengo Kayanza Peter Pinda, Waziri Mkuu Mstaafu akiwa na Mhe. Balozi Wilson M. Masilingi, Balozi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nchini Marekani, Maafisa na Watumishi wa Umma katika Ubalozi huo.