1232 22nd St. NW Washington D.C 20037
ubalozi@tanzaniaembassy-us.org
202-939-6125 202-884-1080 202-884-1083 (Visa)
Embassy of Tanzania, DC

Utaratibu wa Kubadili Cheti Cha Chanjo Cha Kimataifa

Nenda na cheti cha zamani na hati ya kusafiria katika mojawapo ya vituo hivi Bandari: Dar es salaam, Tanga, Kigoma, na Mwanza Viwanja vya ndege: Dar es salaam, Mwanza, na Kilimanjaro Mipakani: Tunduma, Kasumulu, Mtambaswala, Tarakea, Holili, Horohoro, Namanga, Mutukula, Rusumo, Sirari na Isaka Hospitali ya Mnazi Mmoja Utajaza fomu ya kubadili cheti cha chanjo

Read More…

Statement by the Minister for Foreign Affairs and International Cooperation on Allegations that the Governments of China and Tanzania engaged in Illegal Ivory Trade

Honourable Deputy Speaker, Various local and international media reported yesterday that members of the delegation of the President of China, who visited our country 18 months ago, engaged in buying ivory in the country. The source of the allegation is apparently a report by an American Non-Governmental Organisation known as Environmental Investigation Agency (EIA). The

Read More…

Notice on Credit Card Payments

Please be advised the Embassy is currently NOT accepting Credit Card payments until further notice due to maintenance of our systems. All other forms of payment listed on the Visa Information page are accepted, including cash.

Tangazo La Zoezi La Pasipoti Katika Miji Ya Wichita Na Kansas City

Ubalozi wa Tanzania Washington DC, unapenda kuwatangazia Watanzania wote wanaoishi katika miji ya Wichita na Kansas city kuwa, zoezi la kushughulikia maombi ya kubadilisha pasipoti za zamani, litafanyika katika miji iliyotajwa hapo juu kuanzia tarehe 10/10- 14/10/2014. Aidha, Ubalozi unawakumbusha Watanzania wanaoishi katika miji na vitongoji jirani na miji ya Wichita na Kansas City kama

Read More…