1232 22nd St. NW Washington D.C 20037
ubalozi@tanzaniaembassy-us.org
202-939-6125 202-884-1080 202-884-1083 (Visa) 202-330-2718 (Emergency)
Embassy of Tanzania, DC

Commemorating the 54th United Republic of Tanzania National Day

Excellency Mr. Eric Stromayer, Ag. Deputy Assistant Secretary, U.S. Department of State and Mrs. Stromayer; Excellency Ambassador Hersey Kyota, the Dean of Diplomatic Corps; Excellency Ambassador Serge Mombouli, the Dean of African Group of Ambassadors; Excellencies Ambassadors and Charge’d’ Affaires, a.i; Senior Military Officers and Defence Attaches; Excellencies Representatives of International Organizations; Distinguished Leaders of

Read More…

Washiriki kutoka Tanzania wa “Young African Leaders Initiative (YALI) 2017” watembelea Ubalozi wa Tanzania, Washington, D.C

Tarehe 2, Agosti 2017) Wahiriki 42 wa Mandela Washington Fellowship 2017 kutoka Tanzania waliofika mwezi Juni, 2017, walitembelea Ubalozi wa Tanzania, Washington, D.C. na kukutana na Mheshimiwa Balozi Wilson M. Masilingi. YALI, ni programu iliyoanzishwa na Rais mstaafu wa Marekani Mheshimiwa Barack Obama kuwasaidia vijana wa Afrika kutembelea Vyuo vikuu vya Marekani kujifunza, kwa ufadhili

Read More…

H.E. Ambassador Wilson Mutagaywa Kajumula Masilingi, presents his letters of credence to H.E. President Enrique Peña Nieto in Mexico City

On April 11, 2017 H.E. Wilson Mutagaywa Kajumula Masilingi, Ambassador of the United Republic of Tanzania to the United States of America and Mexico, presented his Letters of Credence to H.E. Enrique Peña Nieto, President of Mexico. The ceremony took place at the National Palace in México City. The ceremony was witnessed by Hon. Luis

Read More…

Utaratibu wa Kubadili Cheti Cha Chanjo Cha Kimataifa

Nenda na cheti cha zamani na hati ya kusafiria katika mojawapo ya vituo hivi Bandari: Dar es salaam, Tanga, Kigoma, na Mwanza Viwanja vya ndege: Dar es salaam, Mwanza, na Kilimanjaro Mipakani: Tunduma, Kasumulu, Mtambaswala, Tarakea, Holili, Horohoro, Namanga, Mutukula, Rusumo, Sirari na Isaka Hospitali ya Mnazi Mmoja Utajaza fomu ya kubadili cheti cha chanjo

Read More…